Franklin Pierce
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Franklin Pierce (23 Novemba, 1804 – 8 Oktoba, 1869) alikuwa Rais wa 14 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1853 hadi 1857. Kaimu Rais wake alikuwa William Rufus de Vane King.
[hariri] Tazamia pia
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Franklin Pierce kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |