Andrew Jackson
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha:Andrew Jackson.jpeg
Andrew Jackson
Andrew Jackson (15 Machi 1767 – 8 Juni 1845) alikuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia mwaka wa 1829 hadi 1837. Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza John C. Calhoun, halafu Martin Van Buren aliyemfuata kama Rais.
Tazamia pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andrew Jackson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |