15 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1767 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani 1829-37
- 1830 - Paul Heyse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910)
- 1854 - Emil von Behring (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1901)
- 1946 - Hezekiah Ndahani Chibulunje, mwanasiasa wa Tanzania
- 1952 - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 1975 - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 44 KK - Julius Caesar auawa kwenye bunge la Senati mjini Roma
- 1962 - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 2004 - John Pople, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998