Hezekiah Ndahani Chibulunje
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hezekiah Ndahani Chibulunje (amezaliwa tar. 15 Machi 1946) ni mbunge wa jimbo la Chilonwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri]
Marejeo[hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Hezekiah Ndahani Chibulunje (10 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |