Eva Longoria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eva Longoria Parker
Eva Longoria @ Festival Internacional de Cine en Guadalajara 09.jpg
Eva Longoria
Amezaliwa Eva Jacqueline Longoria
Marekani
Kazi yake Mwigizaji

Eva Jacqueline Longoria-Parker (amezaliwa tar. 15 Machi, 1975) ni mshindi wa tuzo ya Golden Globe-mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchi ya Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Gabrielle Solis aliloigiza kutoka katika tamthilia ya Desperate Housewives iliyokuwa inayorushwa hewani na televisheni ya ABC ya Marekani.

[hariri] Viungo vya nje


WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva Longoria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.