21 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
21 Machi ni sikusare ya bubujiko. Inasherehekewa kama Nouruz au Mwaka Mpya katika nchi na jamii za kidini zinazofuata kalenda ya Kiajemi. Ni sikukuu katika nchi zifuatazo: Uajemi, Afghanistan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan, Azerbaijan, Turkmenistan na Kashmir. Katika Uajemi na Afghanistan inanazisha mwaka mpya rasmi; nchi nyingi hutumia kalenda ya Gregori kama kalenda rasmi na hapa 21 Machi ni sikukuu ya kiutamaduni.
Matukio [hariri]
- 1960 - Mauaji ya Sharpeville: polisi ya Afrika Kusini yaua Waafrika 69 wakiandamana bila silaha.
- 1991 - Nchi ya Namibia inapata uhuru kutoka Afrika Kusini.
Waliozaliwa [hariri]
- 1474 - Mtakatifu Angela Merichi, mtawa wa Italia
- 1685 - Johann Sebastian Bach