1830
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1800 | Miaka ya 1810 | Miaka ya 1820 | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | ►
◄◄ | ◄ | 1826 | 1827 | 1828 | 1829 | 1830 | 1831 | 1832 | 1833 | 1834 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1830 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Eugène Delacroix - La liberté guidant le peuple
- Omani/Zanzibar: Sultani Sayyid Said anahamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja Zanzibar. Anavutwa na ardhi yenye rutba na upatikanaji wa kazi ya watumwa akianzisha kilimo cha karafuu.
- Marekani: Kitabu cha Mormoni chatolewa na John Smith anayedai kuwa alitafsiri kitabu kutoka kwa mabamba ya dhahabu aliyopewa na malaika wa Mungu.
- 14 Juni Sidi-Ferruch (Algeria): Vikosi vya jeshi la Ufaransa vinatelemka mwambaoni wa Algeria. Ukoloni wa Ufaransa unaanza.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1830 MDCCCXXX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5590 – 5591 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1822 – 1823 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1279 ԹՎ ՌՄՀԹ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1246 – 1247 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1208 – 1209 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1885 – 1886 |
| - Shaka Samvat | 1752 – 1753 |
| - Kali Yuga | 4931 – 4932 |
| Kalenda ya Kichina | 4526 – 4527 己丑 – 庚寅 |
- 9 au 18 Februari - Abdulaziz I, Sultani wa Milki ya Osmani (1861-1876)
- 15 Machi - Paul Heyse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910)
- 8 Septemba - Frederic Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 17 Desemba - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania, katika mji wa Santa Marta (Kolombia)
Waliofariki [hariri]
- 4 Juni - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-28), aliuawa
- 30 Novemba - Papa Pius VIII
Wikimedia Commons ina media kuhusu: