Papa Pius VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pius VIII

Papa Pius VIII (20 Novemba, 176130 Novemba, 1830) alikuwa Papa kuanzia 31 Machi, 1829 hadi kifo chake. Alitoka nchi ya Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Saverio Castiglioni. Alimfuata Papa Leo XII na kuvishwa taji 5 Aprili, 1829.

[hariri] Viungo vya nje

Papa Pius VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.