Papa Nikolasi V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Nikolasi V (15 Novemba, 1397 – 24 Machi, 1455) alikuwa papa kuanzia 6 Machi, 1447 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli. Alimfuata Papa Eugenio IV.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Nikolasi V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
