Papa Eutychian
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Eutychian alikuwa papa kuanzia 4 Januari, 275 hadi kifo chake tarehe 7 Desemba, 283. Alimfuata Papa Felix I akafuatwa na Papa Caio.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 8 Desemba.
Maandishi yake [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eutychian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |