Papa Pelagio I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Papa Pelagius I)
Papa Pelagio I alikuwa papa kuanzia 16 Aprili, 556 hadi kifo chake tarehe 3 Machi, 561.
Alimfuata Papa Vigilio akafuatwa na Papa Yohane III.
Marejeo [hariri]
- Ekonomou, Andrew J. 2007. Byzantine Rome and the Greek Popes: Eastern influences on Rome and the papacy from Gregory the Great to Zacharias, A.D. 590–752. Lexington Books.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pelagio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |