Papa Klementi X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi X

Papa Klementi X (13 Julai, 159022 Julai, 1676) alikuwa papa kuanzia 29 Aprili, 1670 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Emilio Bonaventura Altieri. Alimfuata Papa Klementi IX.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.