Papa Julius III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Julius III

Papa Julius III (10 Septemba, 148723 Machi, 1555) alikuwa papa kuanzia 7 Februari, 1550 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Ciocchi del Monte. Alimfuata Papa Paulo III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.