Papa Leo I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Leo I (400 – 10 Novemba, 461) alikuwa papa kuanzia 29 Septemba, 440 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo. Alimfuata Papa Sixtus III.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Leo I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |