Papa Yohane XIV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha:IoannesXIV.jpg
Papa Yohane XIV
Papa Yohane XIV alikuwa papa kuanzia mwaka wa 983 hadi kifo chake tarehe 20 Agosti, 984. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Petro.
Alimfuata Papa Benedikto VII akafuatwa na Papa Yohane XV.
Viungo vya nje[hariri]
Papa Yohane XIV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |