Papa Hyginus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Hyginus alikuwa papa kuanzia takriban 136/138 hadi kifo chake takriban 140/142. Alimfuata Papa Telesphorus akafuatwa na Papa Pius I.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 11 Januari.
[hariri] Maandishi yake
[hariri] Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Kuhusu Papa Hyginus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Chisholm, Hugh, ed (1911). "Hyginus (pope)". Encyclopædia Britannica (11th ed.). Cambridge University Press.- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Liber pontificalis
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Hyginus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |