Papa Yohane XXI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane XXI (1215 – 20 Mei 1277) alikuwa papa kuanzia 13 Septemba 1276 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião.
Alimfuata Papa Adrian V akafuatwa na Papa Nikolasi III.
Viungo vya nje[hariri]
Kuhusu Papa Yohane XXI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |