Papa Dionysius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Dionysius

Papa Dionysius alikuwa papa kuanzia 22 Julai 259 hadi kifo chake tarehe 26 Desemba 269.

Alimfuata Papa Sixtus II akafuatwa na Papa Felix I.

Anaheshimiwa kama mtakatifu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Dionysius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.