Papa Anacletus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Anacletus alikuwa papa kuanzia takriban 79 hadi kifo chake takriban 88. Alimfuata Papa Linus. Sikukuu yake ni 7 Aprili.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Anacletus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Anacletus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |