Papa Yohane VII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane VII alikuwa papa kuanzia 1 Machi, 705 hadi kifo chake tarehe 18 Oktoba, 707. Alizaliwa katika nchi ya Ugiriki. Alimfuata Papa Yohane VI.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Yohane VII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |