Papa Stefano IX
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano IX (takriban 1020 – 29 Machi, 1058) alikuwa papa kuanzia 3 Agosti, 1057 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Frederic de Lorraine. Alimfuata Papa Viktor II.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Stefano IX katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |