Papa Klementi I

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi I

Papa Klementi I alikuwa papa kuanzia takriban 88 hadi kifo chake takriban 99. Alimfuata Papa Anacletus. Sikukuu yake ni 23 Novemba.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Klementi I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.