Papa Paulo VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Paulo VI
Papa Paulo VI

Papa Paulo VI (26 Septemba, 18976 Agosti, 1978) alikuwa papa kuanzia 21 Juni, 1963 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Enrico Antonio Maria Montini. Alimfuata Papa Yohane XXIII.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Papa Paulo VI" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Papa Paulo VI kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi