Papa Stefano I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano I alikuwa papa kuanzia 12 Mei 254 hadi kifodini chake tarehe 2 Agosti 257. Alimfuata Papa Lucius I akafuatwa na Papa Sixtus II.
Aliuawa na maaskari wa Kaisari Valerian.
Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 2 Agosti [1].
Marejeo [hariri]
- ↑ "Martyrologium Romanum" (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)
Maandishi yake [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Kuhusu Papa Stefano I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- "St. Stephen, Pope and Martyr", Butler's Lives of the Saints
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
