Papa Gregori III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori III alikuwa papa kuanzia 18 Machi, 731 hadi kifo chake tarehe 29 Novemba, 741. Alizaliwa katika nchi ya Syria. Alimfuata Papa Gregori II.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Gregori III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |