Papa Leo XIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Leo XIII (2 Machi, 1810 – 20 Julai, 1903) alikuwa papa kuanzia 20 Februari, 1878 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Vincenzo Gioacchino Raffaele Luigi Pecci. Alimfuata Papa Pius IX (1846-78).
[hariri] Viungo vya nje
Papa Leo XIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
