Papa Gregori X
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori X (takriban 1210 – 10 Januari, 1276) alikuwa papa kuanzia mwezi wa Septemba 1271 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Alimfuata Papa Klementi IV.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Gregori X katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |