1 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1181 - Uchaguzi wa Papa Lucius III
- 1923 - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu 140,000.
- 1939 - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza.
- 1969 - Muammar al-Gaddafi anapindua serikali ya mfalme Idris I na kutangaza Jamhuri ya Kiarabu ya Libya.
Waliozaliwa [hariri]
- 1393 - Mtakatifu Yakobo wa Marka, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1877 - Francis William Aston (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1922)
- 1975 - Maritza Rodriguez, mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Colombia
Waliofariki [hariri]
- 1159 - Papa Adrian IV
- 1557 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini kutoka Ufaransa
- 1715 - Mfalme Louis XIV wa Ufaransa
- 1970 - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)
- 1988 - Luis Alvarez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968)