Libya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
|||
| Lugha rasmi | Kiarabu | ||
| Mji Mkuu | Tripoli | ||
| Serikali | jamhuri ya Kiislamu | ||
| Mkuu wa Dola | Mustafa Abdul Dschalil | ||
| Waziri Mkuu | Abdel Rahim el-Kib | ||
| Eneo | 1.759.540 km² | ||
| Idadi ya Wakazi | 5.631.585 (Julai 2004) | ||
| Wakazi kwa km² | 3,2 | ||
| JPT/mkazi | 4.293 US-$ (2004) | ||
| Uhuru | kutoka Italia tar. 24 Desemba 1951 | ||
| Pesa | Dinari ya Libya | ||
| Wakati | UTC+1 | ||
| Wimbo la Taifa | "Libya, Libya, Libya" | ||
Jamahiriya ya Ujamaa ya watu ya Kilibya-Kiarabu (kwa kifupi rasmi Jamahiriya ya Kilibya-Kiarabu) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini ikipakana na Bahari ya Mediteraneo, Misri, Sudan, Niger, Chad, Algeria na Tunisia. Muammar al-Gaddafi alipinduliwa mwaka 2011.
Wakazi [hariri]
Wakazi wa Libya ni hasa Waarabu (74 %) na Waberberi ambao wengi wameanza kutumia lugha ya Kiarabu pia. Kuna pia Waitalia. Wakazi wameongezeka tangu 1970 kutoka milioni 2.5 kuwa milioni sita hadi karibu milioni sita mwaka 2005. Nusu ya wakazi ni vijana chini ya umri wa miaka 16. Sehemu kubwa kabisa (80 %) huishi sehemu za pwani. Eneo kubwa la nchi ni jangwa la Sahara. Miji mikuu ni Tripoli, Benghazi na Misratah.
Lugha kuu ni Kiarabu pamoja na lugha kadhaa za Kibeberi. Ndizo
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Libya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |