Namibia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Unity, Liberty, Justice | |||||
| Wimbo wa taifa: Namibia, Land of the Brave (Namibia, nchi ya mashujaa) | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | Windhoek |
||||
| Mji mkubwa nchini | Windhoek | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza1 | ||||
| Serikali | Jamhuri Hifikepunye Pohamba Nahas Angula |
||||
| Uhuru Kutoka Afrika Kusini |
21 Machi 1991 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
825,418 km² (ya 33) kidogo sana |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2002 sensa - Msongamano wa watu |
2,030,6922 (ya 147) 1,820,916 2.5/km² (ya 192) |
||||
| Fedha | Namibia dollar (NAD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+1) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .na | ||||
| Kodi ya simu | +264
- |
||||
| 1) Kijerumani and Kiafrikaans zilikuwa lugha rasmi pamoja Kiingereza hadi uhuru mwaka 1990. Wakazi wengi hutumia Kiafrikaans kama lugha ya pili. Oshiwambo ni lugha ya kwanza wa nusu ya wakazi. Kijerumani ni lugha ya kwanza wa 32% za wakazi wenye asili ya kiulaya lakini kiingereza ni lugha ya kwanza wa 7% pekee. |
|||||
Namibia ni nchi ya Afrika ya Kusini kwenye pwani la Atlantiki. Imepakana na Angola, Zambia, Zimbabwe Botswana na Afrika Kusini. Imepata uhuru wake kutoka Afrika Kusini mwaka 1990. Mji mkuu ni Windhoek.
Sehemu kubwa ya nchi ni kavu sana na jangwa za Namib na Kalahari zinafunika asilimia kubwa ya uso wa nchi. Jangwa la Namib liko upande wa magharibi likifuata pwani la Atlantiki kuanzia Afrika Kusini hadi Angola. Upande wa mashariki kuna jangwa la Kalahari linalovuka mpaka wa Botswana. Katikati ya jangwa hizi kuna nyanda za juu zinazofikia kimo cha mita 1700 kwa wastani.
Picha za Namibia [hariri]
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Namibia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
