Papa Lucius III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Lucius III (1097 – 25 Novemba, 1185) alikuwa papa kuanzia 1 Septemba, 1181 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ubaldo Allucingoli. Alimfuata Papa Alexander III.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Lucius III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |