Papa Formosus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Formosus (takriban 816 – 4 Aprili, 896) alikuwa papa kuanzia 6 Oktoba, 891 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Stefano V. Maiti yake ilichimbuliwa na kunajisiwa na Papa Stefano VI.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Formosus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Formosus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |