Papa Lucius I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Lucius I alikuwa papa kuanzia 25 Juni, 253 hadi kifo chake tarehe 4 Machi, 254. Alimfuata Papa Kornelio.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Lucius I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Lucius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |