Papa Kornelio
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Kornelio alikuwa papa kuanzia tarehe 6 au 13 Machi, 251 hadi kifo chake tarehe mwezi wa Juni 253. Alimfuata Papa Fabian.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Kornelio katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Kornelio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |