Papa Julius I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Julius I alikuwa papa kuanzia 6 Februari, 337 hadi kifo chake tarehe 12 Aprili, 352. Alimfuata Papa Marko akafuatwa na Papa Liberius.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe
Maandishi yake [hariri]
Marejeo [hariri]
- Duff, Eamon. Saints and Sinners: A History of the Popes, Yale University Press, 2001, pp. 30–32. ISBN 0300091656
Viungo vya nje [hariri]
- Kuhusu Papa Julius I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Liber pontificalis
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Julius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
