Papa Marko
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Marko alikuwa papa kwa miezi kadhaa tu kuanzia tarehe 18 Januari 336 hadi kifo chake tarehe 7 Oktoba 336.
Alimfuata Papa Silvester I akafuatwa na Papa Julius I.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Marko katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |