Papa Liberius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Liberius alikuwa papa kuanzia 17 Mei, 352 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba, 366. Alimfuata Papa Julius I. Liberius ni papa wa kwanza ambaye hajatangazwa kuwa mtakatifu.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Liberius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Liberius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.