Papa Benedikto VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Benedikto VI alikuwa papa kuanzia 19 Januari, 973 hadi kifo chake mwezi wa Julai au Agosti 974. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Yohane XIII. Alilindwa hasa na Mfalme Mkuu Otto I wa Ujerumani. Otto alipofariki, wenyeji wa mji wa Roma walimfunga Benedikto VI na baada ya miezi michache walimuua.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.