Papa Yohane XXIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Yohane XXIII

Papa Yohane XXIII (25 Novemba 18813 Juni 1963) alikuwa Papa kuanzia 28 Oktoba 1958 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pius XII akafuatwa na Papa Paulo VI.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Giuseppe Roncalli. Watu walipenda kumuita "Papa mwema".

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Septemba 2000.

Umuhimu wa Papa huyu ni kwamba aliitisha Mtaguso wa pili wa Vatikano (1962-1965) ambao ulikutanisha maaskofu wote wa Kanisa Katoliki na kuleta matengenezo mbalimbali ndani ya kanisa hilo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.