12 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1854 - Hugo Birger, mchoraji wa Uswidi
- 1856 - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 1899 - Paul Hermann Müller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1948)
- 1916 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini
Waliofariki [hariri]
- 1519 - Kaisari Maximilian I wa Ujerumani
- 1997 - Charles Huggins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 2010 - Zilda Arns, daktari wa watoto kutoka nchi ya Brazil