28 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1600 - Papa Klementi IX
- 1841 - Henry Morton Stanley, mwandishi wa habari kutoka Welisi na Marekani aliyesafiri hasa Afrika Mashariki
- 1922 - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 1941 - King Tubby, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki [hariri]
- 814 - Karolo Mkuu, Mfalme wa Wafranki, na Kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma
- 1621 - Papa Paulo V
- 1939 - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)
- 1996 - Joseph Brodsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987)