14 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1702 - Nakamikado, Mfalme Mkuu wa 114 wa Japani (1709-1735)
- 1875 - Albert Schweitzer, daktari, mwanafalsafa na mmisionari nchini Gabon, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1952
- 1946 - Harold Shipman, daktari na muuaji mfululizo kutoka Uingereza
- 1948 - Carl Weathers, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 1753 - Askofu George Berkeley, mwanafalsafa wa Uingereza
- 1957 - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani