Humphrey Bogart
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Humphrey Bogart | |
|---|---|
Bogart mnamo 1946 |
|
| Amezaliwa | Humphrey DeForest Bogart 25 Desemba 1899 New York, U.S. |
| Amekufa | 14 Januari 1957 (umri 57) Los Angeles, California, U.S. |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Ndoa | Helen Menken (1926–1927) Mary Philips (1928–1937) Mayo Methot (1938–1945) Lauren Bacall (1945–1957) |
| Tovuti rasmi | |
Humphrey DeForest Bogart (25 Desemba 1899 – 14 Januari 1957)[1][2] alikuwa mwigizaji filamu wa Kimarekani. Huyu ameonekana katika zaidi ya filamu sabiini na tano. Miongoni mwa filamu mashuhuri alizocheza ni pamoja na The Maltese Falcon (1941), Casablanca (1942) na The African Queen (1951).
Filamu alizocheza Bogart [hariri]
- The Petrified Forest (1936)
- Angels with Dirty Faces (1938)
- The Roaring Twenties (1939)
- The Maltese Falcon (1941)
- Casablanca (1942)
- To Have and Have Not (1944)
- The Treasure of the Sierra Madre (1948)
- Key Largo (1948)
- In a Lonely Place (1950)
- The African Queen (1951)
- The Caine Mutiny (1954)
- Sabrina (1954)
- The Desperate Hours (1955)
Marejeo [hariri]
- ↑ Ontario County Times limetangaza kuzaliwa, 10 Januari 1900.
- ↑ Tarehe ya Kuzaliwa ya Reckoning.
Viungo vya Nje [hariri]
- Humphrey Bogart at the Internet Movie Database (IMDb)
- Video
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Humphrey Bogart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |