Jean-Auguste-Dominique Ingres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jean-Auguste-Dominique Ingres

Jean-Auguste-Dominique Ingres (Agosti 29 1780 - Januari 14 1867) alikuwa mchoraji kutoka Ufaransa. Pia alikuwa profesa wa sanaa katika Chuo cha Sanaa Nzuri (École des Beaux-Arts) mjini Paris. Yeye ilipatiwa tuzo la Medali ya Heshima (Légion d'honneur) na alikuwa ni mwanachama wa Taasisi ya Ufaransa (Institut de France).

Madame Moitessier (1856)





The source (1820)

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine