1867
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1864 1865 1866 - 1867 - 1868 1869 1870 |
[hariri] Matukio
- 17 Februari - meli ya kwanza inapita Mfereji wa Suez
- 18 Oktoba - Urusi unauza Alaska kwa Marekani.
[hariri] Waliozaliwa
- 18 Januari - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 23 Aprili - Johannes Fibiger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926)
- 7 Mei - Wladyslaw Reymont (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1924)
- 8 Juni - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 28 Juni - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)
- 14 Agosti - John Galsworthy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932)
[hariri] Waliofariki
- 30 Januari - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)

