8 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1198 - Uchaguzi wa Papa Innocent III
- 1912 - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC.
[hariri] Waliozaliwa
- 1891 - Walther Bothe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 1894 - Maximillian Kolbe
[hariri] Waliofariki
- 1198 - Papa Celestino III
- 1324 - Marco Polo, mpelelezi kutoka Italia
- 1997 - Melvin Calvin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961)
- 2002 - Aleksander Prokhorov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)

