Poland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Rzeczpospolita Polska
Jamhuri ya Poland
Bendera ya Poland Nembo ya Poland
Bendera Nembo
Wito la taifa: hakuna
Wimbo wa taifa: Kipoland: Mazurek Dąbrowskiego
(Translation: "Dąbrowski's Mazurka")
Lokeshen ya Poland
Mji mkuu Warshawa
52°13′ N 21°02′ E
Mji mkubwa nchini Warshawa
Lugha rasmi Kipoland[1]
Serikali Jamhuri
Bronisław Komorowski
Donald Tusk
Chanzo cha taifa
Kupokea Ukristo[2]
966
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
312,679 km² (ya 70)
2.65%
Idadi ya watu
 - 2006 kadirio
 - 2014 sensa
 - Msongamano wa watu
 
38 635 144 (ya 31)
38,485,779 [3]
123/km² (ya 90)
Fedha Złoty (tamka: swoti) (PLN)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .pl (pia .eu kama sehemu ya Umoja wa Ulaya)
Kodi ya simu +48
1Kibelarusi, Kikashubi, Kijerumani and Kikraini zinatumiwa kieneo lakini si lugha rasmi za kitaifa.
2Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland.


Poland (Kipoland: Polska) ni nchi ya Ulaya ya Kati. Imepakana na Ujerumani upande wa magharibi, Uceki na Slovakia kwa kusini, Ukraine na Belarus upande wa mashariki na Bahari ya Baltiki, Lituanya na Urusi (mkoa wa Kaliningrad Oblast) kwa kaskazini. Poland imekuwa nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu Mei 2004.

Mto mkubwa wa Poland ni Vistula mwenye 1064 km kutoka chanzo hadi mdomo.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Ardhi ya Poland ni tupu tu kufikia kiasi cha Bahari ya Baltiki katika upande wa kaskazini mwa Milima ya Carpathi kusini mwa nchi. Ndani ya eneo hilo lililotupu, ardhi inatofautiana kutoka mashariki na magharibi.

Pwani la Kipolish la Baltic ni murua zaidi lakini ina bandari asilia katika mkoa wa Gdańsk-Gdynia na Szczecin huko mashariki-magharibi ya mbali. Pwani hiyo ina upepo mzuri na maeneo kadhaa ya pwani za maziwa. Pwani za maziwa na fukwe za zamani ambazo zimekatwa kutoka baharini. Sehemu hizi pia huitwa kama rasi. Rasi ya Szczecin ipo kwenye upande wa mashariki mwa mpaka wa nchi ya Ujerumani. Rasi ya Vistula ipo kwenye upande wa mashariki mwa mpaka wa mji wa Kaliningrad, ambao ni mkoa wa Urusi. Mto mrefu zaidi nchini Poland ni "Vistula", unaangukia ndani ya Rasi ya Vistula na pia unaenda moja kwa moja hadi katika Bahari ya Baltic.

Kanda ya kaskazini-mashariki ni miti tu imejaa, inakosa watu wachache na rasilimali za kilimo na viwanda. Kanda ya kijiografia ina wilaya nne za vilima vya moraine na maziwa yaliyotengenezwa na moraine. Haya yalianzishwa baada ya Pleistocene Zama za Barafu. Ziwa Masurian ni miongoni mwa maziwa manne ya wilaya yaliyochukua eneo kubwa la kaskazini-mashariki mwa Poland.

Poland ina maziwa kibao. Kwa Ulaya, Finland peke yake ndiyo ina maziwa mengi. Maziwa makubwa ni "Śniardwy" na "Mamry". Kwa kuongeza katika wilaya ya ziwa katika kaskazini, kuna namba kubwa pia ya mlima maziwa katika milima Tatras.

Kusini mwa kanda ya kaskazini-mashariki mwa mikoa ya Silesia na Masovia, ambapo kuna alama za mto na mabonde ya zama za barafu. Mkoa wa Silesia una rasirimali nyingi na watu wengi. Kuna makaa ya mawe tele. Lower Silesia ina mgodi wa shaba mkubwa kabisa. Masovian Plain ipo kati ya Poland. Ipo katika mabonde ya mito mkubwa mitatu: Vistula, Bug na Narew.

Ukiendelea na safari kusini ni mlima ya kanda ya Kipolishi. Milima hiyo ni pamoja na Sudetes na Milima ya Carpathi. Sehemu ndefu ya Carpathia ni milima ya Tatra ambayo imekwenda hadi kusini mwa mpaka wa nchi ya Poland. Mlima mrefu zaidi nchini Poland, "Rysy" wenye 2,503 m (8,210 ft), upo Tatras.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kibelarusi, Kikashubi, Kijerumani and Kikraini zinatumiwa kieneo lakini si lugha rasmi za kitaifa.
    3^ Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland.
  2. Kupokelewa kwa Ukristo na Poland hutazamiwa kama chanzo cha taifa la Poland.
  3. Główny Urząd Statystyczny. Baza Demografia. Ludność. Stan, ruch naturalny i wędrówki ludności w I kwartale 2014 r., stan na 31.03.2014. [1]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kurasa za taasisi za serikali[hariri | hariri chanzo]

Utalii Poland[hariri | hariri chanzo]

Kurasa mtandaoni juu ya Poland[hariri | hariri chanzo]

Habari za Poland kwa Kiingereza[hariri | hariri chanzo]


Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Denmark | Estonia | Hispania | Hungaria | Ireland | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituania | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Ufalme wa Muungano | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Poland map flag.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Poland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.