Ufalme wa Muungano
|
|||||
| Wito la taifa: "Dieu et mon droit"(Kifaransa) "Mungu na haki yangu" |
|||||
| Wimbo wa taifa: "God Save the Queen" | |||||
| Mji mkuu | London |
||||
| Mji mkubwa nchini | London | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
| Serikali | Jamhuri ya Kibunge na Ufalme wa kikatiba Elizabeth II wa Uingereza David Cameron |
||||
| kutokea kwa ufalme tangu 1066 Muungano 1707 Muungano 1800 Mkataba wa Uingereza na Eire |
1 Mei 1707 1 Januari 1801 12 Aprili 1922 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
{{{area}}} km² (ya 79) 1.34 |
||||
| Idadi ya watu - mid-2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
60,587,300[1] (ya 22) 58,789,194 [1] {{{population_density}}}/km² (48th) |
||||
| Fedha | Pound sterling (£) (GBP) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
GMT (UTC+0) BST (UTC+1) |
||||
| Intaneti TLD | .uk [2] | ||||
| Kodi ya simu | +44 |
||||
| Alama ya kimataifa ya magari | {{{vehicle_code}}} |
||||
Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini (Kiing.: United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland); kifupi "Ufalme wa Muungano" Kiing.: United Kingdom) ni nchi ya Ulaya ya kaskazini-magharibi. Mara nyingi huitwa kwa Kiswahili "Uingereza" tu ingawa nchi ya Uingereza ni moja pekee kati ya sehemu za ufalme huu pamoja na Uskoti, Welisi na Eire ya Kaskazini.
[hariri] Muungano na utawala
| Bendera | Nchi | Hali | Wakazi | Vitengo | Mji mkuu |
|---|---|---|---|---|---|
| Uingereza | Ufalme | 50,431,700 | London | ||
| Uskoti | Ufalme | 5,094,800 | Edinburgh | ||
| Welisi | Utemi | 2,958,600 | Cardiff | ||
| Hapana | Eire ya Kaskazini | Jimbo | 1,724,400 | Belfast |
[hariri] Tazama pia
[hariri] Marejeo
- ↑ idadi ya wakazi kupitia milioni 60.6. Idara ya takwimu za kitaifa. Retrieved on 22 Agosti, 2007.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ufalme wa Muungano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||