Vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kutoka Wikipedia

Vita ya wenyewe kwa wenyewe ni vita inayopiganiwa ndani ya nchi kati ya vikundi vya taifa moja.

Kuna aina nyingi jinsi vita ya wenyewe kwa wenyewe inaweza kutokea:

  • Inaweza kutokea kati ya serikali na wapinzani wake wakiamua kutumia silaha. I
  • Hutokea kati ya vikundi visivyo vya serikali
  • inatokea kama watu wa sehemu ya nchi wanataka kujitenga na taifa dhidi ya mapenzi ya serikali

Vita za aina huwa na ukali, vifo na uharibifu mwingi. Mara nyingi kanuni za vita haziangaliwi na watu wa kawaida huteseka.

Mifano ya vita za wenyewe kwa wenyewe zinazoendelea ni:

Vifaa binafsi