Moldova
|
|||||
| Wito la taifa: | |||||
| Wimbo wa taifa: Limba noastră (Kiromania) "Lugha yetu") |
|||||
| Mji mkuu | Kishineu |
||||
| Mji mkubwa nchini | Kishineu | ||||
| Lugha rasmi | Kiromania--> | ||||
| Serikali | Jamhuri, Serikali ya Kibunge Vladimir Voronin Vasile Tarlev |
||||
| Uhuru Tarehe Imekamilika |
27 Agosti 1991 25 Desemba 1991 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
33,843 km² (ya 139) 1.4 |
||||
| Idadi ya watu - Jan 2006 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
3,395,6002 (ya 1213) 3,383,3322 111/km² (ya 81) |
||||
| Fedha | Moldovan leu (MDL) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .md | ||||
| Kodi ya simu | +373
- |
||||
| 1 Lugha ya nchi huitwa "Kimoldova" lakini ni lugha ileile kama Kiromania. 2Namba za sensa ya 2004 Transnistria na Tighina hazimo. 3 |
|||||
Moldova ni nchi ndogo ya Ulaya ya Mashariki. Lugha rasmi ni Kiromania. Mji Mkuu ni Kishineu. Moldova ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova ikapata uhuru wake 27 Agosti 1991.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Moldova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
||||||||||||||